Mati ilikuwa na athari kubwa kwenye shamba langu na ilisababisha ongezeko la mazao kulingana na mashamba ya majirani waliopanda kwa wakati mmoja. Afya ya udongo wangu pia iliboreshwa kwa kiasi kikubwa, na uwezo wa udongo kuhifadhi maji uliongezeka kutokana na matumizi ya Mati, na kusababisha mazao kuwa na afya njema hata katika mwaka huu wa mvua chache.
Mati had a significant impact on my farm and lead to visibly increased crop yields compared to neighboring farms that were planted at the same time, My soil health also improved notably, with better water retention capacity attributed to Mati, resulting in healthier crops even during a year of insufficient rainfall. In contrast, surrounding farms without Mati have struggled.